← Rudi kwenye website

Pakua App ya Essy Creations

Kadi za kidijitali, wageni, michango na check-in — vyote kwenye simu yako.

🤖 Android

Pakua na usakinishe app moja kwa moja (bure).

⬇️ Pakua App ya Android (APK)
  1. Bonyeza kitufe hapo juu, kisha Download.
  2. Download ikiisha, fungua faili EssyCreations.apk.
  3. Ukiulizwa, ruhusu "Install unknown apps" (Settings) kisha rudi ubonyeze Install.
  4. Ukiona onyo la Play Protect, bonyeza "Install anyway". Fungua app ya Essy Creations.

iPhone / iPad

Weka app ya Essy Creations kwenye Home Screen yako kupitia Safari (bure, sekunde 10).

  1. Fungua ukurasa huu kwenye Safari.
  2. Bonyeza kitufe cha Share ⬆︎ chini ya skrini.
  3. Shuka chini, chagua "Add to Home Screen" +.
  4. Bonyeza Add. Icon ya Essy Creations itaonekana kwenye simu yako — ifungue kama app.

Unahitaji msaada? WhatsApp 0679 898629